BUNGE TV TANZANIA: BUNGE LA KUMI MBILI, MKUTANO WA PILI KIKAO CHA PILI. TAREHE 03.02.2021 JIONI
Majadiliano ya hoja ya serikali iliyoletwa bungeni. “Kujadili Hotuba ya Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli aliyoitoa wakati wa Ufunguzi wa Bunge la Kumi na Mbili tarehe 13/11/2020”. Majadiliano yanaendelea